Kiwaray

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwaray kilikuwa lugha ya Kigunwingguan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawaray katika jimbo la Northern Territory. Isichanganywe na Kiwaray-Waray wa Ufilipino. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiwaray, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwaray kiko katika kundi lake lenyewe la Kiwaray.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwaray kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.