Kiwaray-Waray

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwaray-Waray ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wawaray-Waray. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiwaray-Waray imehesabiwa kuwa watu 2,560,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwaray-Waray iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwaray-Waray kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.