Kiwangkayutyuru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwangkayutyuru kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawangkayutyuru katika jimbo la Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiwangkayutyuru ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwangkayutyuru kiko katika kundi la Kikarniki. Wengine hukiangalia kuwa lahaja ya Kiwanggamala.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwangkayutyuru kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.