Kiwanggamala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwanggamala kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawanggamala katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiwanggamala ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwanggamala kiko katika kundi la Kikarniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwanggamala kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.