Kiungamwana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kiungamwana.

Kiungamwana (kwa Kiingereza "umbilical cord") ni mshipa mrefu ambao unamuunganisha mimba au mtoto mchanga ndani ya kondo kabla ya kuzaliwa ili kusafirisha chakula na virutubishi vya lishe kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto.

Kiungamwana hukatwa pindi mtoto akizaliwa.

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiungamwana kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.