Kitunguu maji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kitunguu maji ni aina ya tunguu kama vitunguu vingine, kwa mfano kitunguu saumu.

Kitunguu maji kitiba nacho kina uwezo wa kutibu maradhi arobaini (40), miongoni mwa maradhi hayo ni joto la mwili kwa ujumla na mbegu za uzazi zilizokuwa za moto.

Greentree.jpg Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitunguu maji kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.