Kitunggare

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitunggare ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Watunggare. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kitunggare imehesabiwa kuwa watu 500. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitunggare iko katika kundi la “East Geelvink Bay”. Wengine huiangalia kama lahaja ya Kiburate.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitunggare kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.