Kiburate
Mandhari
Kiburate ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Waburate. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiburate imehesabiwa kuwa watu 100, na wasemaji wameanza kuacha lugha yao. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiburate iko katika kundi la “East Geelvink Bay”.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiburate kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiburate Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiburate katika Glottolog
- lugha ya Kiburate kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiburate kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |