Kitonga (Tonga)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitonga ni lugha ya Kiaustronesia nchini Tonga inayozungumzwa na Watonga ambapo ni lugha rasmi ya taifa. Isichangaywe na lugha nyingine ziitwazo Kitonga nchini Malawi, Zambia, Msumbiji na Uthai. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kitonga nchini Tonga imehesabiwa kuwa watu 96,300; tena kuna wasemaji zaidi ya 70,000 nje ya Tonga. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitonga iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Noun project 1822.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitonga (Tonga) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.