Nenda kwa yaliyomo

Kiterik

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiterik ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Kenya inayozungumzwa na Waterik, kanila moja la Wakalenjin. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kiterik imehesabiwa kuwa watu 601,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiterik iko katika kundi la Kinilotiki.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiterik kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.