Kisiwa cha Simaya
Mandhari
8°18′07″S 39°26′06″E / 8.302°S 39.435°E
Simaya ni kisiwa kidogo cha mkoa wa Pwani, nchini Tanzania, ambacho kinapatikana katika Bahari ya Hindi. Kipo mbele ya mdomo wa mto Muhoro, upande wa kusini wa kisiwa cha Mafia.
Simaya ina urefu wa mita 400 na upana wa takriban mita 100.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Pwani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kisiwa cha Simaya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |