Kisiwa cha Sanga (Mukono)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kisiwa cha Sanga (Mukono) ni jina la viwili kati ya visiwa vya Uganda kusini (Mkoa wa Kati, Wilaya ya Mukono), mbali ya kile cha Wilaya ya Buvuma chenye jina hilohilo.

Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa wa eneo.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]