Kisiwa cha Mnemba
Mandhari
Kisiwa cha Mnemba ni kati ya visiwa vya mkoa wa Unguja Kaskazini, Zanzibar, nchini Tanzania, ambacho kinapatikana katika Bahari ya Hindi. Kina wakazi na ni sehemu ya kata ya Matemwe.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu maeneo ya Unguja bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kisiwa cha Mnemba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |