Kisiwa cha Mbaiyu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisiwa cha Mbaiyu ni kati ya visiwa cha kaunti ya Homa Bay, magharibi mwa Kenya.

Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]