Kisiwa cha Hongwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisiwa cha Hongwe ni kati ya visiwa cha kaunti ya Migori, magharibi mwa Kenya.

Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]