Nenda kwa yaliyomo

Kiserereshi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mfano wa kiserereshi.

Katika utarakilishi, kiserereshi (kwa Kiingereza: slider) ni kifaa cha kudhibiti michoro ambayo mtumiaji anaweza kutumia ili kuweka thamani kwenye kiashirio.

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.