Kiserer-Sine

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiserer-Sine ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Senegal na Gambia inayozungumzwa na Waserer. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kiserer-Sine imehesabiwa kuwa watu 1,130,000. Pia kuna wasemaji 31,900 nchini Gambia. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiserer-Sine iko katika kundi la Kiatlantiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiserer-Sine kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.