Kisere

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisere ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wasere. Idadi ya wasemaji wa Kisere nchini Kongo imehesabiwa kuwa watu 2500. Pia kuna wasemaji wachache sana nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisere iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisere kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.