Nenda kwa yaliyomo

Kisamvu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kisamvu

Kisamvu ni majani yanayopatikana katika mmea wa muhogo ambayo hufanywa kama mboga inayoendana na chakula ikileta virutubisho mbalimbali katika mwili wa binadamu.

Makala hii kuhusu "Kisamvu" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.