Kisamo-Matya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisamo-Matya ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso na Mali inayozungumzwa na Wasamo. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kisamo-Matya nchini Burkina imehesabiwa kuwa watu 105,000. Idadi ya wasemaji nchini Mali haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisamo-Matya iko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisamo-Matya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.