Kipunjabi cha Magharibi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipunjabi cha Magharibi (pia Kilahnda) ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan na Uhindi inayozungumzwa na Wapunjabi. Mwaka wa 2015 idadi ya wasemaji wa Kipunjabi cha Magharibi nchini Pakistan imehesabiwa kuwa watu zaidi ya tisini milioni. Pia kuna wasemaji 1,910,000 nchini Uhindi (2007). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipunjabi cha Magharibi iko katika kundi la Kiaryan. Wengine hutumia jina la Kilahnda kujumlisha lugha hii pamoja na Kisaraiki, Kihindko cha Kusini na cha Kaskazini, Kipahari-Potwari na Kikhetrani.

Wikipedia
Wikipedia
Kipunjabi cha Magharibi ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipunjabi cha Magharibi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.