Kipahari-Potwari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipahari-Kipotwari ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan na Uhindi inayozungumzwa na Wapahari. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kipahari-Kipotwari nchini Pakistan imehesabiwa kuwa watu milioni mbili na nusu. ia kuna wasemaji 1,020,000 nchini Uhindi (2000). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipahari-Kipotwari iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipahari-Potwari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.