Kipungani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipungani ni makazi ya kihistoria ya lugha ya Kiswahili yanayopatikana kwenye Kisiwa cha Lamu katika Pwani ya Kenya.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Allen, James de Vere (1981). "Swahili Culture and the Nature of East Coast Settlement". The International Journal of African Historical Studies 14 (2): 306–334. ISSN 0361-7882. doi:10.2307/218047.