Kiphu-Thai
Mandhari
Kiphu-Thai ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Vietnam, Laos na Uthai inayozungumzwa na Waphu-Thai. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kiphu-Thai nchini Uthai imehesabiwa kuwa watu 470,000. Pia kuna wasemaji 187,000 nchini Laos (2005) na 209,000 nchini Vietnam (2002). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiphu-Thai iko katika kundi la Kitai ya Kusini-Magharibi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiphu-Thai kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiphu-Thai
- lugha ya Kiphu-Thai katika Glottolog
- lugha ya Kiphu-Thai kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiphu-Thai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |