Kipeere

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipeere ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wapeere. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kipeere nchini Kamerun imehesabiwa kuwa watu 15,000. Pia kuna wasemaji wachache nchini Nigeria. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipeere iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipeere kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.