Kipapel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipapel ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Guinea-Bisau na Senegal inayozungumzwa na Wapapel. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kipapel nchini Guinea-Bisau imehesabiwa kuwa watu 136,000. Pia kuna wasemaji 4200 nchini Senegal. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipapel iko katika kundi la Kiatlantiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipapel kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.