Kinobiin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinobiin ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan na Misri inayozungumzwa na Wanobiin. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kinobiin nchini Sudan imehesabiwa kuwa watu 295,000. Pia kuna wasemaji 310,000 nchini Misri (2006). Lugha pia huitwa Kifedicca nchini Misri, na Kimahas nchini Sudan. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinobiin iko katika kundi la Sudaniki-Mashariki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinobiin kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.