Kingombe (Afrika ya Kati)
Mandhari
Kingombe ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Wangombe. Isichanganywe na Kingombe nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kingombe imehesabiwa kuwa watu 1450. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingombe iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kingombe kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kingombe Archived 23 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kingombe katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/nmj
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kingombe (Afrika ya Kati) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |