Kingbandi-Kaskazini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kingbandi-Kaskazini ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wangbandi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kingbandi-Kaskazini nchini Kongo imehesabiwa kuwa watu 250,000. Pia kuna wasemaji wachache nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingbandi-Kaskazini iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kingbandi-Kaskazini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.