Kinandi
Mandhari
Kinandi ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Kenya inayozungumzwa na Wanandi, kabila moja la Wakalenjin. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kinandi imehesabiwa kuwa watu 949,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinandi iko katika kundi la Kinilotiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kinandi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kinandi Archived 2 Agosti 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kinandi katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/niq
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinandi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |