Kinalu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinalu ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Guinea na Guinea-Bisau inayozungumzwa na Wanalu. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kinalu nchini Guinea imehesabiwa kuwa watu 13,000. Pia kuna wasemaji 8830 nchini Guinea-Bisau (2006). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinalu iko katika kundi la Kiatlantiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinalu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.