Kimwali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimwali (pia Shimwali) ni lugha ya Kibantu inayozungumzwa katika kisiwa cha Mwali nchini Komori. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimwali kisiwani kwa Komori imehesabiwa kuwa watu 27,200. Pia kuna wasemaji 1000 nchini Madagaska na 500 kisiwani kwa Réunion. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimwali iko katika kundi la G40, yaani iko karibu na Kiswahili.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimwali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.