Kimurkim

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kimurkim ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamurkim. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kimurkim imehesabiwa kuwa watu 290. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimurkim haihusiani na lugha nyingine, ila labda Kilepki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimurkim kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.