Kilepki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilepki ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Walepki. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kilepki imehesabiwa kuwa watu 530. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kilepki haihusiani na lugha nyingine, ila labda na Kimurkim.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilepki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.