Kimomuna

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimomuna ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamomuna. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimomuna imehesabiwa kuwa watu 2000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimomuna iko katika kundi la Kisomahai. Wengine huiangalia kuwa lugha ileile ya Kimomina.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimomuna kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.