Kimomina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimomina ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamomina. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kimomina imehesabiwa kuwa watu 200. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimomina iko katika kundi la Kisomahai. Wengine huiangalia kuwa lugha ileile ya Kimomuna.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimomina kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.