Kimom-Jango
Mandhari
Kimom-Jango (pia Kivere) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wamom-Jango. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimom-Jango nchini Nigeria imehesabiwa kuwa watu 104,000. Pia kuna wasemaji 6520 nchini Kamerun. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimom-Jango iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimom-Jango kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimom-Jango Archived 2017-11-24 at Archive.today
- lugha ya Kimom-Jango katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/ver
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimom-Jango kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |