Kimbembe-Tigon
Mandhari
Kimbembe-Tigon ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun na Nigeria inayozungumzwa na Wambembe-Tigon. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kimbembe-Tigon imehesabiwa kuwa watu 36,000. Pia kuna wasemaji 20,000 nchini Nigeria. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimbembe-Tigon iko katika kundi la Kijukunoidi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimbembe-Tigon kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimbembe-Tigon Ilihifadhiwa 4 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimbembe-Tigon katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/nza
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimbembe-Tigon kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |