Kimashi (Zambia)
Mandhari
Kimashi ni lugha ya Kibantu nchini Zambia, Angola na Namibia inayozungumzwa na Wamashi. Isichanganywe na lugha ya Kimashi inayozungumzwa nchini Nigeria.
Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kimashi nchini Zambia ilihesabiwa kuwa watu 18,800. Pia kulikuwa na wasemaji 2630 katika nchi ya Angola (2000) na wasemaji 200 katika nchi ya Namibia (2006).
Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimashi iko katika kundi la K30.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimashi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimashi Ilihifadhiwa 5 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimashi katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mho
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimashi (Zambia) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |