Kimasedonia
Mandhari
Kimasedonia (македонски јазик, makedonski jazik) ni moja kati ya Lugha za Kihindi-Kiulaya kinachozungumzwa zaidi katika nchi ya Masedonia Kaskazini.
Kimasedonia ni moja katika Muungano wa Lugha za Balkan, ambao unajumlisha Kigiriki, Kibulgaria, Kiromania, Kialbania na Kitorlakia ambacho kina lafudhi ya lugha ya Kiserbokroatia.
Kimasedonia kinafanana hasa na Kibulgaria, lakini pia na Kiserbokroatia, ambavyo vyote vina asili moja ya Kislavoni.
Wanaoongea Kimasedoniia ni watu milioni 2 hivi.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimasedonia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |