Kimarka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimarka ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso na Mali inayozungumzwa na Wamarka. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kimarka nchini Burkina imehesabiwa kuwa watu 200,000. Pia kuna wasemaji 25,000 nchini Mali. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimarka iko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimarka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.