Kimanya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kimanya

Kimanya ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Liberia na Guinea inayozungumzwa na Wamanya. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimanya imehesabiwa kuwa watu 50,400. Pia kuna wasemaji 25,000 nchini Guinea. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimanya iko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimanya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.