Kimann

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kimann

Kimann ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Liberia na Guinea inayozungumzwa na Wamann. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimann nchini Liberia imehesabiwa kuwa watu 188,000. Pia kuna wasemaji 71,000 nchini Guinea. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimann iko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimann kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.