Kimaninkakan-Mashariki
Mandhari
Kimaninkakan-Mashariki ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Guinea, Sierra Leone na Liberia inayozungumzwa na Wamalinke. Mwaka wa 1986 idadi ya wasemaji wa Kimaninkakan-Mashariki nchini Guinea imehesabiwa kuwa watu karibu milioni mbili. Pia kuna wasemaji 108,000 nchini Sierra Leone (2006) na wengine nchini Liberia. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimaninkakan-Mashariki iko katika kundi la Kimande.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimaninkakan kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimaninkakan Archived 21 Februari 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimaninkakan katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/emk
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimaninkakan-Mashariki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |