Kimakian-Magharibi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimakian-Magharibi ni lugha nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamakian kwenye visiwa vya Halmahera, Makian na Kayoa. Mwaka wa 1977 idadi ya wasemaji wa Kimakian-Magharibi imehesabiwa kuwa watu 12,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimakian-Magharibi ilikuwa imedhaniwa kuwa lugha ya Kiaustronesia kama Kimakian-Mashariki katika kundi la Kihalmahera-Kusini. Siku hizi lakini imeainishwa kama lugha ya Kipapua-Magharibi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimakian-Magharibi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.