Kayoa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Halmahera_Kayoa

Kayoa ni kisiwa cha Indonesia. Kiko upande wa kaskazini wa kisiwa cha Bacan. Watu wakaao kisiwani kwa Kayoa huongea lugha mbili, yaani Kimakian-Magharibi na Kimakian-Mashariki.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.