Halmahera

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Halmahera (pia Jailolo) ni kisiwa cha Indonesia. Kiko upande wa kaskazini wa visiwa vya Maluku. Eneo la kisiwa ni 17,780 km². Mji mkuu kisiwani ni Sofifi. Mwaka wa 2010 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 449,938.

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Halmahera kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.