Kiluguru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kiluguru ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Waluguru. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiluguru imehesabiwa kuwa watu 692,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiluguru iko katika kundi la G30.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

  • Mkude, Daniel J. 1974. A study of Kiluguru syntax with special reference to the transformational history of sentences with permuted subject and object. PhD thesis. University of London. Kurasa 335.
Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiluguru kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.