Kiliguria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kiliguria ni mojawapo kati ya lugha za Kihindi-Kiulaya inayozungumzwa na watu 450,000 hivi hasa Italia Kaskazini Magharibi, lakini pia Monako, Ufaransa na kokote walikohamia watu kutoka eneo hilo asili, k.mf. Argentina.

Kihistoria asili yake ni lugha ya Kilatini, hivyo inahesabiwa kati ya lugha za Kirumi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikipedia
Kiliguria ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru