Kikpelle (Liberia)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kikpelle

Kikpelle ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Liberia inayozungumzwa na Wakpelle. Lugha ni tofauti na lugha ya Kikpelle inayozungumzwa nchini Guinea. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kikpelle nchini Liberia imehesabiwa kuwa watu 487,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikpelle iko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikpelle (Liberia) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.